You can now download official Yo whatsapp app released Version 7.70 Hide status view Freeze last seen Hide blue tick Hide second tick New emoji Ukiingia tu hapo baada ya kumaliza kuload utashuka chini kidgo utaona kama sekunde kwenye duara zinapungua utasubiri hadi ifike zero then utaona neno limeandikwa Get link utaligusa na utaweza sasa kudownload app hiyo Link π https://oofly.in/GpGBOdXE --------------------------------------------- Techzone TZ
Makala hii itakusaidia kuweza kuondoa pattern ama password (nywila) uliyosahau katika simu yako (Android), zipo njia nyingi kutegemea na aina ya simu au toleo la Android ambalo simu yako inatumia. Kwa kutumia barua pepe yako na password ya akaunti ya Google. Simu zote ambazo zinatumia Android Kitkat ambayo ni toleo la 4.4 na nyingine zote ambazo ni matoleo ya nyuma ya hili zenyewe ni rahisi pindi unaposahau password yako, katika kundi hili la simu pindi tu unaposahau pattern ama password yako simu yako itakutaka uingize barua pepe na password yako ya Google ambayo ulijiandikishia katika simu hiyo na kisha simu yako itafunguliwa. Angalizo! njia hiyo itafanya kazi iwapo umewasha data katika simu. Kwa kutumia Android Device Manager. Njia hii simu zote ambazo katika zimewezeshwa programu hii, vile vile njia hii itafanikiwa iwapo tu wakati huo intaneti ya simu itakuwa imewashwa. njia hii inaweza sio tu kubadilisha password ya simu kwenda katika password yako mpya ila pia in...
Katika moja ya maswali ambayo kwa zaidi ya miaka miwili tumekuwa tukiulizwa ni kwa namna gani mtu anaweza akazuia kabisa matangazo yasijitokeze anapoperuzi kupitia simu rununu. Limekuwa jambo la karaha na wakati mwingine kufedhehesha pale unapoperuzi ukijaribu kutafuta hiki na kile mtandaoni au umefungua app fulani na ghafla tu unaona tangazo kuhusu kitu fulani mele ya uso wa simu yako; ni kitu ambacho kwa maoni yangu kinapoteza umakini wa kile ulichokuwa unakifanya kabla ya tangazo hilo kujitokeza . Lakini je, kwanini matangazo hayo hujitokeza? Kwa wasiofahamu basi mfahamu leo kwamba tangazo lolote linalojitokeza bila ya kutarajia au linabadilika badilika ni matangazo yaliyo chini ya Google (Google Ads) kwa mantinki ya kumuingizia kipato yule ambaye tangazo hilo limejitokeza kwenye tovuti yake. Matangazo yanayojitoza yamekuwa yakiingiza kipato lakini ni chanzo cha mapato kilicho na changamoto sana. Wakati mwingine yule anayetangaza ile biashara yake...
Comments
Post a Comment