Posts

Showing posts from October, 2018

Download app ya kuongeza followers instagram na kuboost likes FB

Image
Unapost picha kaliiiii FB ila unapata like 1 😀 Pole sana ila sio mbaya mradi umefika hapa basi tatizo limeisha Unapost picha kaliii instagram hupati like ata nusu tu Basi hapa ndo solution linapopatikana utagusa link ninayokupa hapa chini ya kudanload iyo application baada ya hiyo link kufunguka utashuka chinii kidgoo utakuta sekunde zinapungua kutoka 15 hadi 0 utasubiri hapo adi ifike hiyo 0 then kwa chini utaona neno limeandikwa Get link utagusa na utaweza sasa kudownload application yako Link yenyewe ni hiyo hapo chini kabisa Download hapa app ya Kuongeza followers instagram Kuboost like instagram hadi likes 5k Kuboost like FB hadi 5k Kuboost page likes 👇 https://oofly.in/MeGC

Yo whatsapp new version 7.70

Image
You can now download official Yo whatsapp app released Version 7.70 Hide status view Freeze last seen Hide blue tick Hide second tick New emoji Ukiingia tu hapo baada ya kumaliza kuload utashuka chini kidgo utaona kama sekunde kwenye duara zinapungua utasubiri hadi ifike zero then utaona neno limeandikwa Get link utaligusa na utaweza sasa kudownload app hiyo Link 👇 https://oofly.in/GpGBOdXE --------------------------------------------- Techzone TZ

Download application ya kupakua video za Youtube

Image
Unaangalia movie youtube unashindwa kupakua Unaangalia nyimbo youtube unatamani kupakua lakini inashindikana Basi nimeamua nikuletee application hii hapa bora kabisa kama wwe ni muhanga wa hayo matatizo kila movie iliyopo youtube na hapa ipo na unadanload kwa quality unayoitaka wwe Cha kufanya baada ya kufungua link hiyo utasubiri kidgo tu then utashuka chini utaona sekunde kwenye duara zinapungua mpaka kufika zero ikifika zero utacheki chini utaona pameandikwa ( Get Link ) Utagusa hapo ili udanload sasa Endapo isipoanza kudanload utagusa mahali pameandikwa Latest version na kazi itaishia hapo Link yenyewe hiu hapa 👇 ''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' https://oofly.in/6TlHD ] '''''''''''

Download game la Fifa18 kwa PC free hapa

Image
💥 Techzone Enjoy Trick  Enjoy Games Entartain yourself Pakua hapa game la Fifa18 kwa PC yako Link 👇 👇 👇 Enjoy http://infopade.com/3Gxj Enjoy free games from Techzone PC&Android phone                          ðŸ’¥         

Download game la Fifa19 hapa

Image
DOWNLOAD GAME LA FIFA KUPITIA LINK NA MAELEKEZE HAYO HAPO CHINI Kuna mdau kaomba game la fifa19 la simu nimeona sio kesi ngja nitoe kwa wote ili mwenye uhitaji apakue                       NJIA Kwanza utaingia kwenye link chini hapo Ukiingia tuu utashuka chini kidgo utaona inahesabu sekunde subiri hadi zile sekunde 15 ziishe kwa chini utaona neno Get link utaligusa hilo Utafanya hivyo kwa link zote tatu baada ya kumaliza kuinstall utacheki video ya Youtube hapo chini ili uweze kuliactivate licheze ni OFFLINE ENJOY TECHZONE Link ya GAME ni hii FIFA 19 Android ⚽💥               APK https://oofly.in/TDBAL                DATA https://oofly.in/gn5fAR3                    OBB https://oofly.in/C5I1qB Ukishadownload utacheki video hiyo ukishindwa weka COMMENT usaidiwe

Jinsi ya kuondoa ADS katika simu yako

Image
Katika moja ya maswali ambayo kwa zaidi ya miaka miwili tumekuwa tukiulizwa ni kwa namna gani mtu anaweza akazuia kabisa matangazo yasijitokeze anapoperuzi kupitia simu rununu. Limekuwa jambo la karaha na wakati mwingine kufedhehesha pale unapoperuzi ukijaribu kutafuta hiki na kile mtandaoni au umefungua app fulani na ghafla tu unaona tangazo kuhusu kitu fulani mele ya uso wa simu yako;  ni kitu ambacho kwa maoni yangu kinapoteza umakini wa kile ulichokuwa unakifanya kabla ya tangazo hilo kujitokeza . Lakini je, kwanini matangazo hayo hujitokeza? Kwa wasiofahamu basi mfahamu leo kwamba tangazo lolote linalojitokeza bila ya kutarajia au linabadilika badilika ni matangazo yaliyo chini ya  Google (Google Ads) kwa mantinki ya kumuingizia kipato yule ambaye tangazo hilo limejitokeza kwenye tovuti yake. Matangazo yanayojitoza yamekuwa yakiingiza kipato lakini ni chanzo cha mapato kilicho na changamoto sana. Wakati mwingine yule anayetangaza ile biashara yake huwa ana

Tumia njia hii kama umesahau pasword ya Simu yako

Image
Makala hii itakusaidia kuweza kuondoa pattern ama password (nywila) uliyosahau katika simu yako (Android), zipo njia nyingi kutegemea na aina ya simu au toleo la Android ambalo simu yako inatumia. Kwa kutumia barua pepe yako na password ya akaunti ya Google. Simu zote ambazo zinatumia Android Kitkat ambayo ni toleo la 4.4 na nyingine zote ambazo ni matoleo ya nyuma ya hili zenyewe ni rahisi pindi unaposahau password yako, katika kundi hili la simu pindi tu unaposahau pattern ama password yako simu yako itakutaka uingize barua pepe na password yako ya Google ambayo ulijiandikishia katika simu hiyo na kisha simu yako itafunguliwa. Angalizo! njia hiyo itafanya kazi iwapo umewasha data katika simu. Kwa kutumia Android Device Manager. Njia hii simu zote ambazo katika zimewezeshwa programu hii, vile vile njia hii itafanikiwa iwapo tu wakati huo intaneti ya simu itakuwa imewashwa. njia hii inaweza sio tu kubadilisha password ya simu kwenda katika password yako mpya ila pia in

Jinsi ya kuroot android 6.0,6.0.1 version bila PC

Image
Kuna njia mbalimbali za kuroot simu hasa hasa za Android lakini ni njia chache sana zinafanya kazi hiyo kwa urahisi zaidi kama Kingo Root. Kingo Root ni programu unayoweza kutumia kwenye kompyuta na pia hata kwa kutumia simu yako tuu.  Programu tumishi ya kuroot simu za Android. Kuroot Android 6/6.0.1 bofya link hii chini 👇 http://infopade.com/1QY5 king root Faida za kuroot simu. Kiuhalisia zipo sababu nyingi tu za kwanini ni muhimu wa kuifanya simu yako iwe ya kitofauti na vile ambavyo uliinunua lakini daima kuna vile vitu ambavyo vinasababisha utake kuijua simu yako kiundani zaidi: Kuwa na uwanja mpana wa kutumia simu. Unapofanya maamuzi ya kuroot simu basi ni dhahiri kuwa utakuwa umejiweka katika nafasi nzuri kuweza kuvifikia vipengele vya ndani zaidi ambavyo vitakufanya uweze kuitumia simu yako kwa uhuru zaidi.  Simu ambayo imeshafikiwa kiundani zaidi. Kwa simu ambayo imeshafunguliwa kiundani zaidi inakupa uwezo wa kuamuru programu tumishi yoyote ambayo ip